- Mama huyo alijaliwa pacha watatu baada ya miaka 11 katika ndoa bila mtoto
- Inaripotiwa kwamba aliwahi kupoteza mimba wakati wa kipindi hicho cha miaka 11
- Wanamtandao wakijitokeza kumupa kongole, kumtukuza Mungu na kumnena baraka maishani
Habari Nyingine: Kikulacho: Kumbe niliyekuwa Nikimfanyia Kazi ya Upishi Alikuwa Mpango wa Kando wa Mume Wangu
Ni kweli walivyoamba wahenga subira huvuta heri na penye nia basi pana njia.
Misemo hiyo ilidhihirika fika katika maisha ya wanandoa kutoka Nigeria bwana na bi Ogeah ambao wanasherehekea kujaliwa pacha watatu baada ya miaka 11 kwenye ndoa bila mtoto na kuharibika kwa mimba mara kadha. Read More...
Nigerian Newspapers13 hours ago Top Nigerian Newspaper Headlines For Today, Wednesday, 21st August, 2024 Good morning Nigeria. Welcome to the Naija News roundup of top newspaper headlines in Nigeria for today, Wednesday, 21st August, 2024 1. Tinubu Sets Up Portal To...
ncG1vNJzZmivp6x7r63Io5innaeoe6S7zGhpaWpiZH5xe49wZrCnoqGxcA%3D%3D